Wanafunzi
katika shule ya sekondari ya Pretoria wanasema kuwa mara kwa mara
waalimu huwaambia wanyooshe nywele zao na hawaruhusiwi kuzitengeneza
katika mtindo wa Afro.
Sheria kuhusu namna
wasichana wa shule za sekondari wanavyochana nywele nchini Afrika
Kusini zimesitishwa baada ya maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
yaliyofanywa na wanafunzi weusi, ameleza waziri nchini humo.
Waandaaji Kaz na Nini hutangaza kipindi hicho kila Ijumaa kuanzia saa sita mchana