Thursday, 6 October 2016

Walimu waliokuwa mazoezini waliomchapa mwanafunzi watiwa mbaroni.Waziri wa mambo ya ndani nchini Mh. Mwigulu Nchemba aliwaagiza maafisa kuwasaka waalimu watatu wa mafunzo ambao wanadaiwa kumpiga mwanafuzi mmoja aliyefahamika kwa jina la Sebastian Chinguku anayesoma kidato cha tatu katika shule ya sekondari Mbeya day iliyoko jijini Mbeya.

Tuesday, 4 October 2016

Angalia alichokipost ROMA kuhusu birthday ya mwanae

Kuelekea birthday ya mtoto wa masanii wa HIPHOP nchini Tanzania ROMA aliposti  katika mtandao wa kijamii facebook akimtaka mwanae ampe ruhusa ya kuachia wimbo wake mpya

Baada ya kufungiwa kutumia uwanja wa taifa yanga yaandika barua kwenda TFF
Timu ya soka ya yanga imeandika barua kwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuomba watumie uwanja wa Amaan Zanzibar kwa mashindano mbalimbali kama uwanja wa nyumbani.

mamilion ya pesa yakutwa yamechimbiwa chini ArushaImage result for tanzanian shillingIlikuwa ni tafrani katika mtaa wa mianzini jijini hapa leo wakati mradi wa utanuzi wa barabara kutoka mianzini kwenye mataa hadi ilding’a ukiendelea, Tingatinga lililokuwa likifanya kazi ya kutanua barabara hiyo lilipochimbua mfuko wa plastiki uliokuwa umesheheni  minoti ya hela  uliokuwa umechimbiwa chini kwenye nyumba moja ya matope iliyokuwa imebomolewa kupisha utanuzi wa barabara hiyo.