Tuesday, 4 October 2016

Baada ya kufungiwa kutumia uwanja wa taifa yanga yaandika barua kwenda TFF
Timu ya soka ya yanga imeandika barua kwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuomba watumie uwanja wa Amaan Zanzibar kwa mashindano mbalimbali kama uwanja wa nyumbani.No comments: