WEMA SEPETU NI NOUMAH SANA.ONA ALICHOKIFANYABeautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu hivi karibuni ameachia picha tata kwenye akaunti yake yaMtandao wa Instagram zikimuonesha akiwa ameacha mgongo wazi, jambo lililotafsiriwa na wengi kuwa ameamua kufunga mwaka huu kwa staili hiyo ya kuacha mgongo nje, Wema Sepetu akiwa ameacha mgongo wake wazi.Katika picha hizo, Wema anaonekana kujichora tatoo kibao kuanzia shingoni na kumfanya aonekane tofauti na alivyozoeleka jambo lililofanya wengine wamsifie huku wengine wakimponda mbaya.“Sasa Wema kujichora hivyo mgongoni ndiyo nini? Bora ungeuacha mgongo wako kama ulivyokuwa zamani,” alichangia mmoja wa wadau na kuungwa mkono na wenzake.Alipovutiwa ‘waya’ Wema ili kumuuliza kulikoni ameamua kupiga picha za kuuanika mgongo wake, simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa. http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/wema-anatishaaaaa.html http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/wema-anatishaaaaa_19.html http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/wema-anatishaaaa
http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/wema-anatishaaaaa_7258.htmlThursday, 19 December 2013
WABUNGE WAUMBUANA HADHARANI
Dodoma. Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Joyce Mukya ili afupishe ziara yake ya kikazi huko Marekani na kwenda Uarabuni kwa shughuli binafsi.(EL).Mbali ya Mbowe, Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi (CCM) anadaiwa kuchukua posho ya Kamati ya Hesabu za Bunge (PAC), kwa safari ya kwenda Dubai na wenzake lakini badala yake akaenda Mbeya kwenye ziara za chama chake.Malumbano hayo yaliibuka jana baada ya Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), kuomba mwongozo wa Spika akitaka kufahamu kauli ya ofisi yake kwa Mbowe kutumia nafasi yake kumrudisha mbunge ambaye ameshatumia fedha za Serikali.Alidai kwamba Mbowe aliagiza Mukya aanze safari Desemba Mosi, mwaka huu kutoka New York, Marekani ili aende Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) kabla ya kwenda Dar es Salaam, Desemba 3, mwaka huu.Alipoulizwa kuhusu tuhuma hizo j
http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/wabunge-waumbuana-hadharani_6533.htmlMji wa Bor, Sudan Kusini wadhibitiwa na wanajeshi waasi
eshi la Sudan Kusini limesema haliudhibiti tena mji muhimu wa Bor, hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa jeshi hilo kukiri kushindwa katika mapigano yanayoendelea kwa siku ya nne sasa kati ya makundi pinzani ya wanajeshi. Kifaru cha kijeshi kikifanya doria mjini Juba Mapigano hayo makali yanatishia kuitumbukiza nchi hiyo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Msemaji wa Jeshi la Sudan Kusini, Kanali Philip Aguer, amesema leo (19.12.2013) kuwa wanajeshi waasi wanaomtii aliyekuwa makamu wa Rais wa nchi hiyo Riek Machar wameutwaa mji wa Bor.Amesema viongozi katika mji huo ambao ni mji mkuu wa jimbo la Jonglei, hawapokei simu zao, hatua inayoifanya serikali kuu kuamini kwamba wamejiunga na waasi.Kanali Aguer amesema wamepoteza udhibiti wa mji wa Bor na kwamba milio ya risasi imesikika usiku kucha ingawa bado hawana taarifa kuhusu waathirika au watu walioyakimbia makaazi yao kwa sababu operesheni za kijeshi bado zinaendelea.Watu 19 wauawa BorMsemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Nesi
http://ukomboz.blogspot.com/2013/12/mji-wa-bor-sudan-kusini-wadhibitiwa-na.html