Wednesday, 8 July 2015

Justine Bieber Atupia picha za Uchi Mtandaoni

MWANAMUZIKI raia wa Canada asiyeishiwa vituko, Justin Bieber kwa mara nyingine ametengebeza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kutupia picha yake ya utupu katika akaunti yake ya Instagram.Staa huyo ameachia pia hiyo ikionyesha sehemu za makalio yake wakati akijiachia katika Kisiwa cha Bora Bora kilichopo nchini Ufaransa.

Ndani ya saa moja baada ya kutupia picha hiyo, tayari ilikuwa na 'likes' zaidi ya 719,000
Post a Comment