Rais Barack Obama wa Marekani hatimaye amefika nchini Ethiopia katika ziara yake ya pili ya nchi za Afrika.
Ni
mara yake ya kwanza tangu aongoze taifa la Marekani akiwa raisi
kuhutubia wanachama hamsini na mbili wa umoja wa Afrika katika makao
makuu yake yaliyoko Addis ababa.Mazungumzo yao yakiwa yamelenga kutafuta
suluhu ya kutokomeza migogoro ya vita za wenyewe kwa wenyewe sudan ya
kusini.Raisi Obama,aliwasili nchini Ethiopia akiwa anatokea mjini Nairobi ambako aliwaambia wakenya kuwa amna kikomo cha kile wanachokihitaji na kusisitiza kwa kutoa angalizo katika athari za ukabila na rushwa. Tamaduni mbaya kama unyanyasaji wa kijinsia,ndoa za kulazimishwa ,tohara kwa watoto wa kike na kutopeleka watoto shuleni.
No comments:
Post a Comment