Zoezi hili likiwa limeingia siku ya tatatu jijini hapa huku idadi
kubwa ya watu wakiwa hawajaandikishwa kwa madai ya ubovu wa mashine na
waandikishaji ambao siyo wataalamu kumepelekea vyama hivyo vya siasa na
wadau kuzungunzia hali hiyo kama wanavyoelezea.
Akijibu malalamiko ya changamoto hizo pamoja na suala la kuajiri
watu wasiokuwa na utaalamu msimazi wa zoezi hilo ambaye ni mkurugenzi wa
manispaa ya Ilala mbali na kukukiri kupokea malalamiko hayo ameiomba
tume ya uchaguzi kuongeza wataalamu wa komputa huku akielezea utaratibu
uliotumika kupata waandikishaji.
No comments:
Post a Comment