Matukio ya wazazi kunyanyasa watoto tena hata wa kuwazaa wenyewe bado yameendelea kutokea kila wakati sehemu mbalimbali duniani.
Huko Nigeria kuna stori inamuhusu baba
mmoja..eti kaamu kukata vidole vya mwanae wa kumzaa kisa tu kaiba nyama
bila kumwomba mama yake ruhusa ya kuchukua.
Kwa sasa mtoto huyo amelazwa hospitali huku akiendelea kupatiwa matibabu wakati baba yake akiendelea kushikiliwa na polisi.
No comments:
Post a Comment