Wafanyikazi 51 waliripotiwa kuwa katika kiwanda
hicho cha viatu wakati ajali hiyo ya ilipotokea. Wafanyikazi wote
waliweza kuondolewa kutoka kwenye jengo hilo ila 9 kati yao waliaga
dunia walipokuwa hospitalini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Xinhua watu 9 walifanikiwa kuondoka huku wengine 42 wakiokolewa na kikosi cha waokoaji kilichofika katika kiwanda hicho. Shughuli za uokoaji zilianza baada ya ajali hiyo kutokea mwendo wa saa kumi unusu jioni mpaka saa saba unusu usiku.
Uchunguzi ungali unaendelea ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.

No comments:
Post a Comment