
Ajali
ya Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge
Arumeru Mashariki Joshua Nassari ilipata ajali jana jioni.
Kwenye ukurasa wa
Twitter wa
CHADEMA zimewekwa post kwamba Mbunge
Joshua Nassari ndiye
aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya
matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa, ni baada ya
kunusurika.
No comments:
Post a Comment