Baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa siku nyingi
aitwaye,Nagari,Staa wa Bongo Fleva,Linnah Sanga amepata mpenzi mpya
aitwaye Williams Bugeme’Boss Mutoto’raia wa Uganda,ambaye hivi karibuni
amechora ‘tattoo’ kwenye mwili wake yenye jina la msanii huyo.
Akizungumza na Clouds FM,Linnah alisema ilikuwa ni kit cha kushtukiza
sana kwani mpenzi wake alimtumia sms kuwa anataka kumfanyia ‘surprise’
na afikirie ni kitu gani anataka kumfanyia alimjibu kuwa hajui ila
amwambie tu.
‘’Alinitumia sms akaniambia ni ‘guess’ ni kitu gani anataka kunifanyia
‘surprise’ nikwambia mimi sijui basi akaniambia amechora tattoo yenye
jina langu daah! Nilishtuka sana na pia nilikuwa na furaha
sana,’’alisema Linnah.
‘’Unajua ni maamuzi magumu sana mtu kukuchora tattoo na mpaka anakuchora
ujue basi ana mapenzi ya kweli na kama ni shabiki basi ni shabiki
kwelikweli amezama kabisa,’’aliongeza Linnah.
Msanii mwingine aliyeweka rekodi ya kuchora tattoo ya jina la mpenzi
wake na sura yake ni msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda aliyechora
tattoo ya mpenzi wake Shilole.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment