Mbunge wa Sengerema na waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William
Ngeleja (kushoto) akionesha nakala ya risiti aliyokabishiwa na mamlaka
ya Mapato nchini (TRA) baada ye kurejesha serikalini kiasi cha Sh40.4
milioni alizopewa kama msaada toka kwa mfanyabiashara James Rugemalira
wa Kampuni ya VIP Engeneering and Marketing Ltd. Kulia ni Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa.
No comments:
Post a Comment