Tuesday, 21 November 2017

NASA ya Kenya Kumwapisha Odinga kama Rais wa kenya Jumanne

Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa
Rais wa taifa hilo Siku hiyo ya Jumanne.
Post a Comment