Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 , anadai
kukatwa sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe aliyemtaja kwa jina moja
la Mashaka ili akauze Sh. milioni tano za Kitanzania akauze kwa mganga
wa kienyeji ili apate mtaji.Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 aliyekatwa
sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe anayefahamika kwa jina moja la
Mashaka. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo baya,
Mwanamke huyo anadai kujeruhiwa na mumewe usiku wakati wakiwa wamelala nyumbani kwao
Akizungumza na mwanahabari wetu kwa tabu akiwa wodini kwenye hospitali hiyo akiwa na maumivu makali, mama huyo alikuwa na haya ya kusema:
“Siku ya tukio, nakumbuka mume wangu alikwenda kutembea, aliporejea nyumbani alifuatana na mtu mmoja ambaye ni mganga wa kienyeji.“ Walipofika nyumbani aliniambia yupo na mganga wa kienyeji ambaye alikuwa akitafuta viungo vya sehemu za siri za mwanamke akiwa na fedha milioni tano

No comments:
Post a Comment