Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akiwa
ameongozana na Mbunge wa Kibamba wakiwasili katika Mahakama Kuu Mkoa wa
Arusha Leo Jumatatu 27/02/2017 ikiwa leo linasikilizwa shauri la Mbunge
wa Arusha mjini, Mhe. Godbless Lema.
Viongozi wengine waliofika mahakamani leo ni Katibu Mkuu wa
CHADEMA Taifa, Dkt. Vincent Mashinji, Mjumbe wa Kamati Kuu,Prof.
Mwesiga Baregu, Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Frederick Sumaye, Meya wa jiji
la Arusha,Mhe. Calist Lazaro, Katibu wa CHADEMA Arusha, Mhe. Aman
Golugwa na viongozi mbalimbali wa CHADEMA
No comments:
Post a Comment