
wameporomokea korongoni, mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu ambaye inadhaniwa amepona. - Kuna watoto wawili hapa, makadirio ya miaka ni mitatu na saba, lakini hawa inasemekana
kwamba walirushwa korongoni kutokana na huo
mgongano.
Uokoaji wa maiti na majeruhi walionasa kwenye ajali hapa eneo la tukio unazorota kutokana na ukosefu wa Gesi ya kukata basi kukosekana Mafinga. Juhudi zinafanyika ili kuweza kuokoa majeruhi pamoja na maiti.
No comments:
Post a Comment