Afisa mmoja wa
polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa
kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee
sana kuwa kiongozi.
Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba |
Mugabe ndiye kiongozi wa umri mkubwa zaidi duniani baada ya kutimia umri wa miaka 92 mwezi uliopita.
No comments:
Post a Comment