Mwanasiasa huyo amesema kuwa ameshindwa kuukataa ukweli huu
kuwa hivi sasa uongozi wa nchi yetu chini ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
umedhihirisha wazi kupigania rasilimali za nchi na kwa kuwa niliomba ridhaa ya
Ubunge kwa ahadi ya kupigania rasilimali za nchi nimejikuta sina namna nyingine
zaidi ya kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiuzulu Ubunge wangu ili niungane na
CCM katika jukumu hili muhimu kwa Taifa.
TAZAMA VIDEO HAPA
No comments:
Post a Comment