Kikosi cha Klabu ya chelsea |
Viongozi wa Ligi ya Premia Manchester City watakutana na FC
Basel ya Uswizi, Manchester United wakutana na Sevilla wanaocheza La Liga nao
Liverpool wakutane na FC Porto ya Ureno.
Mabingwa watetezi Real Madrid watakutana na Paris
St-Germain.
Klabu tano kutoka England zilifuzu kwa hatua ya makundi
msimu huu, ambayo ni rekodi.
Chelsea ndio pekee wa Uingereza waliofuzu wakiwa wa pili
kutoka kundi lao, klabu nyingine zote zilimaliza kileleni.
Washindi wa makundi watakuwa ugenini mechi za kwanza 13/14
na 20/21 Februari na nyumbani mechi za marudiano mbamo 6/7 na 13/14 Machi.
Fainali itachezewa Kiev mnamo 26 Mei.
Droo kamili: Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya
🔰 Juventus 🆚 Tottenham
🔰 FC Basel 🆚 Manchester City
🔰 Sevilla 🆚 Manchester United
🔰 Real Madrid 🆚 PSG
🔰 Shakhtar Donetsk 🆚 AS Roma
🔰 Chelsea 🆚 Barcelona
🔰 Bayern Munich 🆚 Besiktas
🔰 FC Porto 🆚 Liverpool
🔰 FC Basel 🆚 Manchester City
🔰 Sevilla 🆚 Manchester United
🔰 Real Madrid 🆚 PSG
🔰 Shakhtar Donetsk 🆚 AS Roma
🔰 Chelsea 🆚 Barcelona
🔰 Bayern Munich 🆚 Besiktas
🔰 FC Porto 🆚 Liverpool
No comments:
Post a Comment