Wednesday 12 August 2015

Shambulio la bomu latekelezwa kaskazini mashariki mwa Nigeria

Shambulio la bomu NigeriaShambulio la bomu latekelezwa kaskazini mashariki mwa Nigeria

Watu 47 wameripotiwa kufariki kati shambulio la bomu lililotekelezwa katika jimbo la Borno Kaskazini-Mashariki mwa Nigeria.
Shambulio hilo limetekelezwa katika soko ambalo linapatika katika jimbo hilo.

Mashahidi wa tukio hilo wamefahamisha kuwa watu wapatao 52 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
Kundi la wanamgambo wa Boko Haram wanshukiwa kuendesha shambulio hilo.

No comments: