Wednesday 29 October 2014

Ajali mbaya yatokea Arusha iliyo husisha Lori na gari la Abiria

Ajali mbaya imetokea leo majira ya saa kumi na moja jioni huko maeneo ya Madira Arumeru jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hice na lori lenye tela. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni hice iliyokuwa ikijaribu kuovatake eneo lisilo salama. Katika ajali hiyo watu zaidi ya 15 wamepoteza maisha hususan waliokuwa katika Hice.

No comments: