Makocha Carlo Ancelotti ( Real Madrid ), Antonio Conte ( Juventus/Italy ), Pep Guardiola ( Bayern Munich ), Jurgen Klinsmann ( Marekani ), Joachim Low ( Ujerumani ), Jose Mourinho ( Chelsea ), Manuel Pellegrini ( Manchester City ), Alejandro Sabella ( Argentina ), Diego Simeone ( Atletico Madrid) na Louis van Gaal (Holland/Manchester United) wametangazwa na Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA hii leo kuwania tuzo ya kocha bora wa dunia kwa mwaka 2014.
Katika orodha hiyo kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers hayumo.


No comments:
Post a Comment