Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya




Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.
Dk. Lucy Nkya

Chanzo kinadaiwa kuwa ni "Mzozo wa Kifamilia"