Kisiwa
cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu
visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiarabu
visiwani humo.
Hata
hivyo zao hilo limekuwa likikumbwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za
kushuka kwa bei ya karafuu katika soko la dunia na hivyo kuathiri
uchumi wa Zanzibar.Katika kukabiliana na hali hiyo, serikali ya Zanzibar imekuwa ikitilia umuhimu sekta ya utalii, ambapo huko kisiwani Pemba kumejengwa hoteli ya aina yake, ambayo moja ya vyumba vyake kimejengwa chini ya bahari.
Mwandishi wa BBC Salim Kikeke alitembelea hoteli hiyo.
No comments:
Post a Comment