Sunday 9 February 2014

Yanga yachinja chinja ligi ya mabingwa Afrika

Kiungo wa Komorozine Sports, Moidjie Ali akija akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, David Luhenda katika mchezo wa Ligi ya klabu Bingwa Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imelamba timu hiyo 7-0

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa timu ya Komorozine Sports Attouumane Omar wakati wamechi hiyo.

Wacheaji wa Yanga wakishangilia baada ya kuifunga timu ya Komorozine Sports katika mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

No comments: