Shambulizi hili lilifanyika Katika sehemu ya kati ya mji wa Babeli katika Iraq .
Kwa mujibu wa taarifa ilyopokewa kutoka kwa shirika la usalama, bomu ililipuka katika upande wa kaskazini mwa Babeli, mmoja wa Luteni Kanali aliuawa katika shambulio hilo, watu 10 waliuawa, ikiwa ni pamoja na Luteni huyo, walinzi wa usalama walisema zaidi ya watu 20 walijeruhiwa.
Hakuna kauli rasmi uliotolewa kuhusu tukio hilo.
No comments:
Post a Comment