Mshambuliaji
wa Chelsea Diego Costa hatoshiriki katika mechi dhidi ya Manchester
City baada ya kupatikana na hatia ya ukosefu wa nidhamu katika mechi ya
semi fainali ya kombe la League Cup dhidi ya Liverpool.
Cesc
Fabregas ,Branislav Ivanovic na Felippe Luis wote walijeruhiwa katika
mechi hiyo ya ushindi wa kombe la League Cup na ni Ivanovic pekee
anayetarajiwa kucheza leo.Nyota wa kilabu hiyo Yaya Toure na mshambuliaji Wilfried Bonny hawatashirik baada ya imu yao ya taifa kusonga mbele katika mechi za robo fainali za Afrika hatua ambayo inawalazimu wote kusalia Afrika.
No comments:
Post a Comment