Mmiliki wa kilabu ya Chelsea Abramovic |
Lionel Messi ameambiwa kwamba kuna mkataba wa miaka sita kutoka kwa kilabu ya Chelsea unaomngojea.
Duru
za karibu na mchezaji huyo wa Barcelona zinaarifu kuwa Chelsea imeweka
wazi kwamba iko tayari kutoa kitita cha pauni millioni 200 kumnunua
nyota huyo.Nyota wa kilabu ya Barcelona Lionel Messi |
Inadiwa kuwa Mesi hakushiriki katika mazoezi ya siku ya jumatatu huku Enrique akishindwa kukana mgogoro uliopo kati yake na Messi.
No comments:
Post a Comment