kiungo
wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza
kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka
kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa
baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na
League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe
la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na golikipa mnigeria Vicent Enyeama.Toure pia alikwaa tuzo ya FIfa ya Ballon D'Or mwezi wa kumi mwaka wa jana.
No comments:
Post a Comment