Habari zilizotufikia Punde:Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi
kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa
ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba yaliyotokea mwaka 2001,
Ambapomwenyekiti wake Profesa
Ibrahimu Lipumba nimiongoni watu waliokubwa na kadhia hiyo ya kupigwa
mabomu ya machozi eneo la Temeke jijini Dar es Salaam.Kwa habari zaidi
Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina.
No comments:
Post a Comment