Msichana mmoja mwenye umri wa miaka ishirini, nchini nijeria amepigwa
risasi na askari wa nchini humo na kufariki baada ya askari hao kuanza
kupiga risasi ili kufukuza watu walio kuwa wakizuia zoezi la bomoa
lililokuwa likiendelea katika eneo hilo. Binti aliyejulikana kwa jina la
lucy alikuwa akiuza duka ambalo lilikuwa karibu na eneo la tukio na
hatimaye mauti kumkuta.
No comments:
Post a Comment