Inasikitisha sana kuona matukio yasio ya kawaida kama haya. Imekuwa
si swala tena la kushangaza kuona au hata kusikia watu wakifanya mapenzi
ya jinsia moja.Jamaa aliye tambulika kwa jina la Ally alimnasa mchumba ake aliyekuwa akimtembelea kwake akifanya mapenzi na msichana mwenzie ilikuwa ni hali ya kusikitisha sana kwani akutegemea kuwa mwanamke aliyekuwa akimheshimu nakumpenda kwa dhati anatabia hiyo.
No comments:
Post a Comment