Sunday 8 December 2013

"JAMANI SISI SIO MASHOGA NI WANAUME KAMILI" HAYA NI MANENO YA KIKUNDI CHA MUZIKI KENYA LA SAUTI SOL

Sauti Sol 
Kundi la mziki la kenya la sauti sol wameibuka na kukanusha habari zilizosambazwa na blog nyingi pamoja na mitandao ya kijamii nchini kenya iliyokua ikilipoti kuwa kundi hilo lnajiusisha na vitendo vya ushoga.
      sauti sol ambao wapo katika kuwania kategori mbili za tuzo za channel O walikanusha vikali tuhuma hzo na kuhaidi kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya blog hizo.
    skendo hyo imewaongezea umaarufu na kura nyingi katika kinyanganyiro cha tuzo zenye ushindani mkubwa africa. tuzo za channel O.

No comments: