Tuesday 10 December 2013

MDUDU AINGILIA HARAMBE STARZ VS KILI STARZ



mechi ya kili starz na kenya yaingia mdudu . Hii n baada ya mvua kubwa kunyesha iliyo fanya uwanja( machako stadium) uliokua mechi hiyo ichezewe kuharibika kwa kujaa maji hivyo mechi hiyo kuhamishiwa kiwanja kingine na haita chezwa tena saa 10 kama ilivyo kuwa awali badala yake itachezwa saa 12 au saa 2 jion

No comments: