Sunday 14 June 2015

Vazi alilovaa Faiza Ally laitia aibu Tanzania

Baada ya Lile vazi alilovaa Siku ya All White Party ya Zari Kuleta Ngumzo Mitandaoni ..Leo Tena Mwanadada Faiza Ally Amekuja na Mpya Kwenye Tuzo za KTMA...

Baadhi ya Watu Wamekerwa na Vazi Hilo na Kusema Yafuatayo:

Angelayubu Loooh shoga ata kama umaarufu umezidi iyo sasa shombo

Jestina George Sina kawaida hii lakini leo wacha niseme Faiza jamani why?? Not on the red carpet my love Noti Raiti kabisa mamii ake!!! I appreciate ubunifu wako but this is a NO! NO! Juu na mbele sawa kidogo huko nyuma hapana, hapana!!!

Mwakipesilejeremiah Kwakweli mheshimiwa Mbilinyi alikosea njia.

Pendomackay_mobileshop Iko kimstar cha matakon angekiweka sawa km vilivokaa vnge angalau ingevumilika,asa nako kakabinulia kwa chini ili tako lionekane mweeh alitegemea kusifiwa ila kwa coment hz unaweza jiona takataka

RathhawaPumbavu kabisa mwanamke hana haya huyu. Mara avae pempers,mara avae shati tupo. Bora aende uchi tu


Missbutter_beiby Yaani hata wakati anahojiwa hakuwa na amani kabisa anahemea juu juu tu ������akakataa kugeuka lol aibu hata km ni umaarufu sio kihvy angefunika tu hilo tako na am sure hata huko alipokaa hayupo confotable kabisa

sophy_soffy Sifa za kjinga hizo! Mtu mwenyew ana umarufu gani! Eboo...' hata filamu 5 hajaact! Kisa tu kazaa na mweshimiwa na kaonekana ktk interview ya take one! Bas tabu tupuu' ovyoooo! Yan kaharibu..'mtto wake cjui anamfunza nn!@zamaradimketema@mrekebishatabia


gwantwamwangoka Mmmh too much aiseee....huyu akapimwe akili lol...duu mnaweza kuona mwenzenu mzima kumbe anautindio Wa ubongo .kichaa sio lazima aokote makopo .hata havutii

No comments: