Friday, 19 June 2015

Joketi akiri kumkosesha Diamondi Tuzo

Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye  Tuzo za Kill Music Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..
Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wepenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii....
Post a Comment