Shambulio hilo lilifanyika usiku wa Ijumaa ambapo masanduku 59 yameripotiwa kuchomwa moto na watu hao.
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na mwenyekiti wa wilaya, Marineau Hitimana alifahamisha kuwa mapambano bain aya watu hao na askari Polisi ilichukuwa muda wa dakika takriban 10.
Hitimana alifahamisha kuwa ilidi kutuma kikosi cha wanajeshi kufaulu kusitisha shambulio hilo.
Shambulio hilo limetokea kipindi ambapo kumesalia siku 2 ili uchaguzi wa wabunge na madiwani ufanyike.

No comments:
Post a Comment