Thursday 18 June 2015

Lema akumkunja Askari msimamizi wa kituo cha kujiandikisha wapiga kura

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema jana alishindwa kuzuia hasira zake na kutaka kupigana na mmoja wa askari polisi katika kituo cha kuandikisha wapigakura cha Mkombozi kata ya Sokoni One, Jimbo la Arusha. Tafrani hii ilitokea baada ya kukuta polisi huyo akiandikisha wananchi wanaohitaji vitambulisho, kabla ya kuingia ndani ya chumba cha waandikishaji. Vurugu hizo zilitokea saa 5:30 asubuhi, mara baada ya Lema kuingia eneo hilo akitembelea vituo vya kuandikisha wapiga kura kuangalia hali halisi. Alipofika kwenye kituo hicho alikuta mmoja wa Polisi akiwa amevaa kiraia (Jina halikupatikana mara moja), akiwa na daftari dogo akiorodhesha majina ya wapiga kura kwa lengo la kupunguza folen

Akizungumza na wananchi huku Lema akiwa amezungukwa na askari polisi, alisema huo sio utaratibu wa kufanywa na polisi na hata Tume hairuhusu Polisi kufanya kazi hiyo bali kulinda amani tu. Hata hivyo, Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Arusha, Thomas Maleko, akimtuliza hasira Lema akisema wao wanafanya kazi hiyo, ili kuwapunguzia adha wananchi ambao wanafika kituoni saa 9:00 usiku, hadi siku ya pili wanakaa kutwa nzima bila kupata fursa ya kuingia chumba cha kujiandikisha. Alisema kutokana na hali hiyo, ndipo Polisi walipoamua kuandikisha watu kwa makubaliano na waandikishwaji wenyewe, ili waondoke nyumbani wakafanye kazi zingine na kesho yake wakirejea wanapata fursa hiyo. “Hawa watu hata wakikaa hapa hawawezi kuingia ndani ya chumba husika, maana kuna kompyuta moja tu, hivyo wanapigwa na jua, hivyo utaratibu huu sisi tumeona ni mzuri, tunaandika jina la mtu kisha tunamruhusu aende nyumbani hadi kesho aje anaingia ili kupata kitambulisho,” alisema. Hata hivyo, licha ya maelezo ya polisi, Lema hakukubaliana nayo na kuwasiliana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Juma Idd ambaye alimtuma Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi, ambaye naye hakutaka kuzungumza chochote na waandishi wa habari na pia hakutaka kutaja jina lake
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema jana alishindwa kuzuia hasira zake na kutaka kupigana na mmoja wa askari polisi katika kituo cha kuandikisha wapigakura cha Mkombozi kata ya Sokoni One, Jimbo la Arusha. Tafrani hii ilitokea baada ya kukuta polisi huyo akiandikisha wananchi wanaohitaji vitambulisho, kabla ya kuingia ndani ya chumba cha waandikishaji. Vurugu hizo zilitokea saa 5:30 asubuhi, mara baada ya Lema kuingia eneo hilo akitembelea vituo vya kuandikisha wapiga kura kuangalia hali halisi. Alipofika kwenye kituo hicho alikuta mmoja wa Polisi akiwa amevaa kiraia (Jina halikupatikana mara moja), akiwa na daftari dogo akiorodhesha majina ya wapiga kura kwa lengo la kupunguza foleni. Akizungumza na wananchi huku Lema akiwa amezungukwa na askari polisi, alisema huo sio utaratibu wa kufanywa na polisi na hata Tume hairuhusu Polisi kufanya kazi hiyo bali kulinda amani tu. Hata hivyo, Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Arusha, Thomas Maleko, akimtuliza hasira Lema akisema wao wanafanya kazi hiyo, ili kuwapunguzia adha wananchi ambao wanafika kituoni saa 9:00 usiku, hadi siku ya pili wanakaa kutwa nzima bila kupata fursa ya kuingia chumba cha kujiandikisha. Alisema kutokana na hali hiyo, ndipo Polisi walipoamua kuandikisha watu kwa makubaliano na waandikishwaji wenyewe, ili waondoke nyumbani wakafanye kazi zingine na kesho yake wakirejea wanapata fursa hiyo. “Hawa watu hata wakikaa hapa hawawezi kuingia ndani ya chumba husika, maana kuna kompyuta moja tu, hivyo wanapigwa na jua, hivyo utaratibu huu sisi tumeona ni mzuri, tunaandika jina la mtu kisha tunamruhusu aende nyumbani hadi kesho aje anaingia ili kupata kitambulisho,” alisema. Hata hivyo, licha ya maelezo ya polisi, Lema hakukubaliana nayo na kuwasiliana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Juma Idd ambaye alimtuma Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi, ambaye naye hakutaka kuzungumza chochote na waandishi wa habari na pia hakutaka kutaja jina lake. Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments: