George mwenye miaka 103 na Doreen mwenye miaka 91 waliamua kutimiza ndoto yao hiyo ya siku nyingi kwa kufunga ndoa.
Wawili hao wamefunga ndoa baada ya kuwa
kwenye uhusiano kwa miaka 27 huku kila mmoja akisema hajutii kuchelewa
kufanya maamuzi hayo.
Sherehe hiyo ya aina yake ambayo
ilifanyika katika hotel ya Eastbourne, Kusini mwa Uingereza ilihudhuriwa
na watu mbalimbali wakiwemo ndugu na marafiki wa karibu wa familia
hiyo.
No comments:
Post a Comment