Kwa muda mrefu sasa hivi watu wanaofatilia habari za mastaa wa bongo
wanafahamu kwamba Waigizaji Wema Sepetu pamoja na Kajala ambao walikua
marafiki mpaka Wema akamuokoa Kajala kwenda Jela kwa kumlipia faini ya
MILIONI 13, hawapatani sasa hivi hata wakikutana hawasalimiani.
Wema Sepetu alikutana na Zamaradi Mketema kwenye show ya CloudsTV (TAKE ONE) na kuongea mengi kuhusu Kajala na kwanini hatomsamehe, kwenye hizi video mbili hapa chini kuna Part I na Part II Wema akiongea yote.
PART 1

Prt 2
No comments:
Post a Comment