Rais Xi JinPing wa Uchina alizuru nchini tanzania mwaka uliopita |
Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa
Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na
kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa
Uchina Xi Jinping,wakati alipozuru bara Afrika.
Kulingana na shirika la ujasusi la mazingira lililo na makao yake mjini London.Pembe za ndovu |
Uuzaji wa Pembe za ndovu ulipigwa marufuku mwaka 1989 ili kuwazuia wawindaji haramu kuwaua ndovu.
No comments:
Post a Comment