Stoke City imefanya uhamisho wa mchezaji huyo aliyemaliza mkataba
wake na timu ya soka ya Ajax. Stoke imesaini mkataba wa miaka minne na
nyota huyo wa magoli mwenye miaka 23 .
Kiongozio wa klabu hiyo, Tony Scholes alieleza “Tumefurahi kumsajili
nyota wa miaka 23, ambaye anakipaji na ni mchezaji atakaeng’aa katika
siku za usoni.
Borjan aliyekuzwa na kuendelezwa katika kilabu cha Barcelona,
alichezea timu A ya kilabu hicho tangu akiwa na umri wa maika 17 na
kufunga magoli 26 katika mechi 120.
Ukiachana na Barcelona, Borjan pia amewahi kutinga uzi wa Milan, Roma na Ajax.
No comments:
Post a Comment