Monday 14 July 2014

Uturuki imelaani mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama Yemen

 Uturuki imeilaani mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama Yemen

Katika taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki, njia pekee ya kuhakikisha amani na usalama wa nchi ni kupitia mazumgunzo ya kitaifa .
Katika taarifa hiyo,
“ Tunazilaani juhudi za makundi ya waasi katika jimbo la Amran katika siku hizi za karibuni kwa kujaribu kupanga mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama.Tunaamini kwamba njia pekee ya kuhakikisha usalama na amani ni mazungumzo ya kimataifa yatakayo jumuisha sehemu zote za jamii na yatakayoleta maendeleo makubwa ya kimsingi .Msaada wetu kwa serikali ya Yemen katika juhudu za kufanikisha mazungumzo haya  itaendelea na tuko pamoja na ndugu zetu  wa jamii ya Yemen katika kila hatua.”

No comments: