Thursday, 4 June 2015

Uvumi kuhusu kifo cha malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza

Uvumi kuhusu kifo cha malkia ElizabethUvumi kuhusu kifo cha malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza

Ripota wa shirika la habari la Uingereza la BBC alifahamisha kuwa alisau simu nyumbani na mtu mmoja akamdhihaki kwakupeperusha taarifa katika akauti yake ya Twitter kuwa malkia Elizabeth wa pili amefariki.
Taarifa hiyo ilishtua nyoyo za raia wa Uingereza baada ya kusoma habari katika akaunti hiyo ya Twitter.
Nyoyo za waingereza zilipozwa baada ya Buckingham kukanusha taarifa hiyo.
BBC kwa upande wake ilifahamisha kuwa taarifa hiyo ilitokana na tatizo la kiufundi katika mtandao.
Buckingham ilifahamisha kuwa malkia Elizabeth ana umri wa miaka 89 na hali yake ya afya ni ya kuridhisha.
Post a Comment