Wednesday, 11 June 2014

Makundi ya fainali kombe la Dunia Brazil haya hapa

fainali za kombe la dunia ndio hizi hapa, karata yako unampa nani kwenye fainali za mwaka huu kuibuka na kombe? Je unafahamu ni timu gani na inawakilishwa na wachezaji gani kwenye fainali za mwaka huu? hii ni nafasi yako kufahamu vikosi vyote vya timu za taifa kwa kila kundi.

KUNDI A (Brazil, Croatia, Mexico na Cameroon)
BRAZIL


Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakishangilia moja ya goli walilofunga
fifa.com


Katika kikosi cha timu ya taifa ya Brazil, wachezaji mahiri na wakongwe kwenye timu hiyo, Ricardo Kaka na Robinho waliachwa hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa timu hiyo.
Wachezaji makinda kama, David Luiz, Oscar, Ramires, Willian na mlinda mlango Julio Cesar wamejumuishwa kwenye kikosi cha Felipe Scolari.
Kikosi kamili cha timu ya taifa ya Brazili ni kama ifuatavyo kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa:
Walinda mlango, Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro).
Safu ya ulinzi ni pamoja na, Marcelo (Real Madrid), Daniel Alves (Barcelona), Maicon (AS Roma), Maxwell, Thiago Silva (both Paris St-Germain), David Luiz (Chelsea), Dante (Bayern Munich), Henrique (Napoli).
Wachezaji viungo ni pamoja na, Paulinho (Tottenham Hotspur), Ramires, Willian, Oscar (all Chelsea), Hernanes (Inter Milan), Luiz Gustavo (Wolfsburg), Fernandinho (Manchester City).
Washambuliaji safu hii ya Brazil itaongozwa na, Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Jo (Atletico Mineiro), Hulk (Zenit St Petersburg).

CROATIA


fifa.com
Timu ya taifa ya Croatia imejumuisha wachezaji takriban watatu wanaocheza kwenye ligi kuu ya nchini Uingereza akiwemo mchezaji wa Southampton, Dejan Lovren, mshambuliaji wa Hull city, Nikica Jelavic na kiungo wa QPR, Niko Kranjcar.
Kocha mkuu wa timu hii Niko Kovac amelazimika kumuacha mchezaji wake tegemezi, Kranjcar kwasbabu ya majeraha yanayomkabili lakini mchezaji wa Real Madrid Luka Modric amejumuishwa kwenye kikosi hiki.
Kikosi kamili cha timu ya taifa ya Croatia kinaundwa na:
Walinda mlango, Stipe Pletikosa (Rostov), Daniel Subasic (Monaco), Oliver Zelenika (Dinamo Zagreb)
Walinzi ni pamoja na, Darijo Srna (Shakhtar Donetsk), Dejan Lovren (Southampton), Vedran Corluka (Lokomotiv Moscow), Gordon Schildenfeld, Danijel Pranjic (both Panathinaikos), Domagoj Vida (Dynamo Kiev), Sime Vrsaljko (Genoa).
Viungo wa timu hii wataongozwa na, Luka Modric (Real Madrid), Ivan Rakitic (Sevilla), Ognjen Vukojevic (Dynamo Kiev), Ivan Perisic (Wolfsburg), Mateo Kovacic (Inter Milan), Marcelo Brozovic (Dinamo Zagreb), Sammir (Getafe), Ivan Mocinic (Rijeka).
Wakati safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Mario Mandzukic (Bayern Munich), Ivica Olic (Wolfsburg), Eduardo (Shakhtar Donetsk), Nikica Jelavic (Hull City), Ante Rebic (Fiorentina).

MEXICO


Timu ya Taifa ya Mexico
fifa.com
Kwenye timu hii ya taifa ni mchezaji, Javier Hernandez pekee kutoka klabu ya Manchester United kutoka kwenye ligi kuu ya Uingereza ndio amejumuishwa kwenye kikosi cha Mexico.
Mchezaji Carlos Vela pekee ndiye ameendelea kukosekana kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Mexico.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Magolkipa ni pamoja na, Jose de Jesus Corona (Cruz Azul), Guillermo Ochoa (Ajaccio), Alfredo Talavera (Toluca).
Mabeki wataongozwa na, Miguel Layun (America), Carlos Salcido (Tigres), Paul Aguilar (America), Andres Guardado (Bayer Leverkusen), Hector Moreno (Espanyol), Francisco Javier Rodriguez (America), Diego Reyes (Porto), Rafael Marquez (Leon).
Kiungo kitaongozwa na wachezaji mahiri kama vile, Miguel Angel Ponce (Toluca), Jose Juan Vazquez (Leon), Luis Montes (Leon), Hector Herrera (Porto), Isaac Brizuela (Toluca), Marco Fabian (Cruz Azul), Carlos Pena (Leon).
Kwenye safu ya ushambuliaji kutakuwa na wachezaji kama, Oribe Peralta (Santos), Javier Hernandez (Manchester United), Giovani dos Santos (Villarreal), Raul Jimenez (America), Alan Pulido (Tigres).
CAMEROON


Timu ya taifa ya Cameroon
fifa.com
Timu ya taifa ya Cameroon inaundwa na wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa barani Ulaya na Asia, akiwemo nahodha wake Samuel Eto'o ambaye hizi ni fainali zake za nne kushiriki akiwa na kikosi hiki, kwakuwa alishashiriki fainali za mwaka 1998, 2002 na 2010.
Mchezaji pekee aliyeachwa kwenye kikosi hiki na ambaye alikuwa tegemezi ni Mohamadou Idrissou ambaye aliachwa na kocha wake baada ya kukosa mkwaju wa Penalty timu yake ilipocheza na Paraguay.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Walinda mlango ni, Loic Feudjou (Coton Sport), Charles Itandje (Konyaspor), Sammy Ndjock (Fethiyespor).
Safu ya ulinzi itaongozwa na, Benoit Assou-Ekotto (QPR, on loan from Tottenham Hotspur), Henri Bedimo (Lyon), Aurelien Chedjou (Galatasaray), Cedric Djeugou (Coton Sport), Nicolas Nkoulou (Marseille), Dany Nounkeu (Besiktas), Allan Nyom (Granada).
Viungo wa timu hii ni pamoja na, Enoh Eyong (Antalyaspor), Jean Makoun (Rennes), Joel Matip (Schalke), Stephane Mbia (Sevilla, on loan from QPR), Benjamin Moukandjo (Nancy), Landry Nguemo (Bordeaux), Edgar Salli (Lens), Alex Song (Barcelona).
Huku safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Vincent Aboubakar (Lorient), Eric-Maxim Choupo Moting (Mainz), Samuel Eto'o (Chelsea), Fabrice Olinga (Malaga), Achille Webo (Fenerbahce).
KUNDI B. (Uhispania, Uholanzi, Chile na Australia)
UHISPANIA


Kocha wa timu ya taifa ya Uhispania, Vicente Delbosque, amemjumuisha kwenye kikosi chake mshambuliaji majeruhi wa timu ya Atletico Madrid mwenye asili ya Brazil, Diego Costa pamoja na mshambuliaji wa Chelsea, Fernando Torres.
Mchezaji pekee atakayekosekana kwenye kikosi hiki ni kiungo mkabaji wa klabu ya Beyern Munich ya Ujerumani, Thiago Alcantara ambaye ameumia goti.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Walinda mlango kwenye timu hii ni pamoja na, Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David De Gea (Manchester United).
Safu ya ulinzi itaongozwa na, Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Raul Albiol (Napoli), Cesar Azpilicueta (Chelsea), Juanfran (Atletico Madrid), Jordi Alba (Barcelona).
Viungo wa timu hii ni tegemeo kubwa la kocha Vicente na wataongozwa na, Xavi (Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Sergio Busquets (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Cesc Fabregas (Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Koke (Atletico Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich).
Wakati kwenye safu ya ushambuliaji wachezaji kama, David Silva (Manchester City), Diego Costa (Atletico Madrid), Fernando Torres (Chelsea), Pedro (Barcelona), Juan Mata (Manchester United), David Villa (Atletico Madrid), watakuwa tegemeo kwenye kupachika mabao kwa timu pinzani.

UHOLANZI


Timu ya taifa ya Uholanzi
fifa.com
Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi, mholanzi, Louis Van Gaal amewajumuisha wachezaji sita wanaocheza kwenye ligi kuu ya Uingereza akiwemo mshambuliaji wa Manchester United, Robin Van Persie, Ron Vlaar wa Aston Villa na Leroy Fer wa Norwich.
Mchezaji pekee aliyeachwa kwenye kikosi hiki ni, Rafael van der Vaart ambaye aliondolewa kwenye kikosi cha Van Gaal baada ya kupata majeraha.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Walinda mlango wataongozwa na, Jasper Cillessen (Ajax), Tim Krul (Newcastle), Michel Vorm (Swansea).
Kwa upande wa mabeki, wachezaji wanaotegemewa kuongoza eneo hili ni, Daley Blind, Joel Veltman (both Ajax), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi, (all Feyenoord), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa).
Viungo ni pamoja na, Jordy Clasie (Feyenoord), Jonathan de Guzman (Swansea), Nigel de Jong (AC Milan), Leroy Fer (Norwich), Arjen Robben (Bayern Munich), Wesley Sneijder (Galatasaray), Georginio Wijnaldum (PSV Eindhoven).
Safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Memphis Depay (PSV Eindhoven), Klaas-Jan Huntelaar (Schalke 04), Dirk Kuyt (Fenerbahce), Jeremain Lens (Dynamo Kiev), Robin van Persie (Manchester United).
CHILE


Timu ya Taifa ya Chile
fifa.com
Kocha wa timu ya taifa ya Chile amemjumuisha kwenye kikosi chake mchezaji wa Juventus, kiungo, Arturo Vidal licha ya kuwa ametoka kwenye upasuaji hivi karibuni.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Walinda mlango ni pamoja na, Claudio Bravo (Real Sociedad), Johnny Herrera (Universidad de Chile), Cristopher Toselli (Universidad Catolica).
Safu ya ulinzi inajumuisha wachezaji kama, Gary Medel (Cardiff City), Gonzalo Jara (Nottingham Forest), Jose Rojas (Universidad de Chile), Eugenio Mena (Santos), Mauricio Isla (Juventus).
Wakati kwenye upande wa kiungo wachezaji kama, Jorge Valdivia (Palmeiras), Felipe Gutierrez (Twente), Jose Pedro Fuenzalida (Colo Colo), Francisco Silva (Osasuna), Arturo Vidal (Juventus), Charles Aranguiz (Internacional), Marcelo Diaz (Basel), Carlos Carmona (Atalanta), Miiko Albornoz (Malmo), wanategemewa kupeleka mashambulizi wakati wote.
Washambuliaji wanaounda timu hii ni pamoja na, Alexis Sanchez (Barcelona), Esteban Paredes (Colo Colo) Eduardo Vargas (Valencia), Jean Beausejour (Wigan Athletic), Mauricio Pinilla (Cagliari), Fabian Orellana (Celta).

AUSTRALIA


Timu ya Taifa ya Australia
fifa.com
Timu ya Australia imejumuisha wachezaji wawili pekee wanaocheza ligi ya nyumbani, ambao ni Bailey Wright na Massimo Luongo.
Wachezaji ambao wameachwa na kikosi hichi kinachoelekea nchini Brazil ni pamoja na mlinzi Curtis Good na kiungo Tom Rogic wa Celtic.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu wanazochezea kwasasa:
Walinda mlango kwenye timu hii wataongozwa na, Eugene Galekovic (Adelaide United), Mitchell Langerak (Borussia Dortmund), Mat Ryan (Club Brugge).
Mabeki ni, Jason Davidson (Heracles Almelo), Ivan Franjic (Brisbane Roar), Ryan McGowan (Shandong Luneng Taishan), Matthew Spiranovic (Western Sydney Wanderers), Alex Wilkinson (Jeonbuk Hyundai), Bailey Wright (Preston North End).
Viungo ni pamoja na, Oliver Bozanic (Luzern), Mark Bresciano (Al Gharafa), James Holland (Austria Vienna), Mile Jedinak (Crystal Palace), Massimo Luongo (Swindon Town), Matthew McKay (Brisbane Roar), Mark Milligan (Melbourne Victory), Tommy Oar (Utrecht), James Troisi (Melbourne Victory), Dario Vidosic (Sion).
Huku safu ya ushambuliaji ikitarajiwa kuongozwa na, Tim Cahill (New York Red Bulls), Ben Halloran (Fortuna Dusseldorf), Matthew Leckie (FSV Frankfurt 1899), Adam Taggart (Newcastle Jets).

KUNDI C. (Colombia, Ugiriki, Ivory Coast na Japan)
COLOMBIA


Timu ya Taifa ya Colombia
fifa.com
Timu ya taifa ya Colombia inaelekea nchini Brazil bila ya mshambuliaji wake tegemezi kwenye timu hiyo, Radamel Falcao ambaye kutokana na majera ambayo anayo, hakujumuishwa kwenye kikosi kinachoelekea nchini Brazil.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanachezea kwasasa.
Walinda mlango ni pamoja na, David Ospina (Nice), Faryd Mondragon (Deportivo Cali), Camilo Vargas (Independiente Santa Fe).
Mabeki ni, Mario Yepes (AC Milan), Cristian Zapata (AC Milan), Pablo Armero (West Ham, on loan from Napoli), Camilo Zuniga (Napoli), Santiago Arias (PSV Eindhoven), Eder Alvarez Balanta (River Plate), Carlos Valdes (San Lorenzo).
Viungo ni, Fredy Guarin (Inter Milan), Juan Cuadrado (Fiorentina), James Rodriguez (Monaco), Abel Aguilar (Toulouse), Juan Fernando Quintero (Porto), Carlos Sanchez (Elche), Aldo Leao Ramirez (Morelia), Alexander Mejia (Atletico Nacional).
Safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Victor Ibarbo (Cagliari), Jackson Martinez (Porto), Carlos Bacca (Sevilla), Adrian Ramos (Hertha Berlin), Teofilo Gutierrez (River Plate).
UGIRIKI


Timu ya Taifa ya Ugiriki
fifa.com
Mshambuliaji wa Fulham Konstantinos Mitroglou amejumuishwa kwenye kikosi hichi licha ya kutocheza mara kwa mara, yumo pia mchezaji Giorgos Karagounis na Georgios Samaras.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanachezea kwasasa.
Walinda mlango wataongozwa na, Orestis Karnezis (Granada), Panagiotis Glykos (PAOK), Stefanos Kapino (Panathinaikos).
Mabeki wamo pia, Kostas Manolas, Giannis Maniatis, Jose Holebas (all Olympiakos), Sokratis Papastathopoulos (Borussia Dortmund), Giorgios Tzavellas (PAOK), Loukas Vyntra (Levante), Vasilis Torosidis (Roma), Vangelis Moras (Verona).
Viungo ni pamoja na, Alexandros Tziolis (Kayserispor), Andreas Samaris (Olympiakos), Kostas Katsouranis (PAOK), Giorgos Karagounis (Fulham), Panagiotis Tachtsidis (Torino), Ioannis Fetfatzidis (Genoa), Lazaros Christodoulopoulos (Bologna), Panagiotis Kone (Bologna).
Safu ya ushambuliaji imejumuisha wachezaji kama, Dimitris Salpingidis (PAOK), Giorgios Samaras (Celtic), Konstantinos Mitroglou (Fulham), Theofanis Gekas (Konyaspor).

IVORY COAST


L'Ivoirien Didier Drogba.
AFP PHOTO/Stan HONDA
Kikosi hiki kinaelekea nchini Brazil kikiwa na wachezaji wenye majina makubwa kama vile, Didir Drogba anayecheza fainali zake za tatu na timu yake ya taifa, hii ikitarajiwa kuwa fainali yake ya mwisho kucheza.
Wamo wachezaji wengine kama ndugu, Yaya Toure na Kolo Toure, wamo pia, Eilfried Bony na Cheick Tiote.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanachezea kwasasa.
Walinda mlango ni pamoja na, Boubacar Barry (Lokeren), Sylvain Gbohouo (Sewe Sport), Sayouba Sande (Stabaek).
Mabeki ni, Kolo Toure (Liverpool), Sol Bamba (Trabzonspor), Didier Zokora (Trabzonspor), Serge Aurier (Toulouse), Arthur Boka (Stuttgart), Ousmane Viera Diarrassouba (Caykur Rizespor), Constant Djakpa (Frankfurt), Jean-Daniel Akpa-Akpro (Toulouse).
Viungo ni, Yaya Toure (Manchester City), Cheick Tiote (Newcastle), Serey Die (Basel), Max Gradel (Saint Etienne), Diomande Ismael (Saint Etienne), Didier Ya Konan (Hannover), Mathis Bolly (Dusseldorf).
Wakati safu ya ushambuliaji inatarajiwa kuongozwa na, Gervinho (Roma), Didier Drogba (Galatasaray), Salomon Kalou (Lille), Wilfried Bony (Swansea), Giovanni Sio (Basel).

JAPAN


Timu ya Taifa ya Japan
fifa.com
Timu ya taifa ya Japan imejumuisha wachezaji takribani 12 wanaocheza soka lao la kulipwa barani Ulaya, wamo wachezaji kama vile, Shinji Kagawa anacheza Manchester United, mlinzi wa Southampton Maya Yoshida, kiungo wa AC Milan, Keisuke Honda.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanachezea kwasasa.
Walinda mlango ni, Eiji Kawashima (Standard Liege), Shusaku Nishikawa (Urawa Reds), Shuichi Gonda (FC Tokyo).
Mabeki ni, Masato Morishige (FC Tokyo), Yasuyuki Konno (Gamba Osaka), Yuto Nagatomo (Inter Milan), Maya Yoshida (Southampton), Masahiko Inoha (Jubilo Iwata), Atsuto Uchida (Schalke 04), Hiroki Sakai (Hannover 96), Gotoku Sakai (VfB Stuttgart).
Kiungo ni, Yasuhito Endo (Gamba Osaka), Keisuke Honda (AC Milan), Shinji Kagawa (Manchester United), Makoto Hasebe (FC Nuremberg), Hiroshi Kiyotake (FC Nuremberg), Hotaru Yamaguchi (Cerezo Osaka), Toshihiro Aoyama (Sanfrecce Hiroshima), Manabu Saito (Yokohama F Marinos).
Washambuliaji ni, Shinji Okazaki (Mainz), Yoichiro Kakitani (Cerezo Osaka), Yuya Osako (TSV Munich 1860), Yoshito Okubo (Kawasaki Frontale).

KUNDI D (Uruguay, Costa Rica, Uingereza na Italia)
URUGUAY


Timu ya Taifa ya Uruguay
fifa.com
Timu hii pia imesheheni majina ya wachezaji mahiri wanaocheza soka la kulipwa barani Ulaya kama vile, Luis Suarez anayekipiga na Liverpool, Sebastian Coates, mshambuliaji wa Paris St Germain Edison Cavani na mkongwe Diego Forlan wamejumuishwa kwenye kikosi kinachoelekea nchini Brazil.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanazochea kwa sasa.
Walinzi ni pamoja na, Fernando Muslera (Galatasaray), Martin Silva (Vasco da Gama), Rodrigo Munoz (Libertad).
Mabeki ni, Maximiliano Pereira (Benfica), Diego Lugano (West Bromwich Albion), Diego Godin, Jose Maria Gimenez (both Atletico Madrid), Sebastian Coates (Liverpool), Martin Caceres (Juventus), Jorge Fucile (Porto).
Vioungo wamo pia, Alvaro Gonzalez (Lazio), Alvaro Pereira (Sao Paulo), Walter Gargano (Parma), Egidio Arevalo Rios (Morelia), Diego Perez (Bologna), Cristian Rodriguez (Atletico Madrid), Gaston Ramirez (Southampton), Nicolas Lodeiro (Botafogo).
Safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Luis Suarez (Liverpool), Edinson Cavani (Paris St-Germain), Abel Hernandez (Palermo), Diego Forlan (Cerezo Osaka), Christian Stuani (Espanyol).
COSTA RICA


Timu ya taifa ya Costa Rica
Reuters

Timu hii ya taifa itamkosa mchezaji wake tegemezi, Alvaro Saborio ambaye alivunjika mguu wakati wa mazoezi ya timu yake ya taifa kujiandaa kuelekea nchini Brazil, mchezaji mwingine watakae mkosa ni, Bryan Oviedo ambaye alipata majeraha dakika za mwisho.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanazochea kwa sasa.
Walinda mlango ni, Keylor Navas (Levante), Patrick Pemberton (Alajuelense) Daniel Cambronero (Herediano).
Mabeki ni, Johnny Acosta (Alajuelense), Giancarlo Gonzalez (Columbus Crew), Michael Umana (Saprissa), Oscar Duarte (Bruges), Waylon Francis (Columbus Crew), Heiner Mora (Saprissa), Junior Diaz (Mainz 05), Christian Gamboa (Rosenborg), Roy Miller (New York Red Bulls).
Viungo ni pamoja na, Celso Borges (AIK), Christian Bolanos (Copenhagen), Esteban Granados (Herediano), Michael Barrantes (Aalesund), Yeltsin Tejeda (Saprissa), Diego Calvo (Valerenga), Jose Miguel Cubero (Herediano).
Safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Bryan Ruiz (PSV Eindhoven, on loan from Fulham), Joel Campbell (Olympiakos, on loan from Arsenal), Randall Brenes (Cartagines), Marco Urena (FC Kuban Krasnodar).
UINGEREZA


Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson ameamua mwaka huu kwenda nchini Brazil na wachezaji ambao hawana uzoefu mkubwa kwenye michuano ya kimataifa, ambapo amewajumuisha wachezaji, Luke Shaw wa Southampton, Adam Lallana na Rickie Lambert wote kutoka Everton.
Mchezaji pekee anayekosa kwenye kikosi hiki ni beki wa kushoto wa Chelsea, Ashley Cole ambaye alitangaza kutocheza kwenye timu yake ya taifa baada ya kuachwa na kocha wake.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanazochea kwa sasa.
Walinda mlango watakuwa ni, Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Bromwich Albion), Joe Hart (Manchester City).
Mabeki ni, Leighton Baines (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Phil Jagielka (Everton), Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchester United), Luke Shaw (Southampton), Chris Smalling (Manchester United).
Viungo ni, Ross Barkley (Everton), Steven Gerrard, Jordan Henderson (both Liverpool), Adam Lallana (Southampton), Frank Lampard (Chelsea), James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Jack Wilshere (Arsenal).
Safu ya ushambuliaji itaongozwa na, Rickie Lambert (Southampton), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Sturridge (Liverpool), Danny Welbeck (Manchester United).

ITALIA


Timu ya Taifa ya Italia
fifa.com
Timu ya taifa ya Italia ni timu nyingine kwenye kundi hili inayopewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye michuano ya mwaka huu, mchezaji pekee atakayekosa fainali za mwaka huu ni mshambuliaji wa Fiorentina, Giuseppe Rossi ambaye licha ya kupona majeraha aliyokuwa nayo kocha wake aliamua kumuacha.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo, kwenye mabano ni timu ambazo wanazochea kwa sasa.
Walinda mlango wataongozwa na mkongwe, Gianluigi Buffon (Juventus) wamo pia, Salvatore Sirigu (Paris St-Germain), Mattia Perin (Genoa).
Mabeki ni pamoja na, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci, Giorigo Chiellini (all Juventus), Gabriel Paletta (Parma), Ignazio Abate, Mattia De Sciglio (both AC Milan), Matteo Darmian (Torino).
Viungo ni, Andrea Pirlo, Claudio Marchisio (both Juventus), Thiago Motta, Marco Verratti (both Paris St-Germain), Daniele De Rossi (AS Roma), Antonio Candreva (Lazio), Marco Parolo (Parma), Alberto Aquilani (Fiorentina).
Washambuliaji wanaotegemewa kuwa chachu ya ushindi wa timu hii ni pamoja na, Mario Balotelli (AC Milan), Antonio Cassano (Parma), Alessio Cerci (Torino), Ciro Immobile (Torino), Lorenzo Insigne (Napoli).
KUNDI F
ARGENTINA.

Timu ya taifa ya Argentina
fifa.com
Kikosi cha Argentina kitamkosa mchezaji mkongwe na mshambulizi wa klabu ya Juventus nchini Italia Carlos Tevez.
Hata hivyo kujumuishwa kwa beki wa Manchester City Martin Demichelis na Franco Di Santo anayesakata soka katika klabu ya Werder Bremen lakini baadaye Di Santos hakutajwa katika kikosi cha wachezaji wa mwisho 30.
Kikosi kamili cha timu hii na kwenye mabano ni vilabu ambavyo wachezaji hawa wanacheza kwasasa.
Makipa: Sergio Romero (Sampdoria), Mariano Andujar (Catania), Agustin Orion (Boca Juniors).
Mabeki: Pablo Zabaleta (Manchester City), Federico Fernandez (Napoli), Ezequiel Garay (Benfica), Marcos Rojo (Sporting Lisbon), Hugo Campagnaro (Inter Milan), Martin Demichelis (Manchester City), Jose Basanta (Monterrey).
Viungo: Javier Mascherano (Barcelona), Fernando Gago (Boca Juniors), Lucas Biglia (Lazio), Ricardo Alvarez (Inter Milan), Augusto Fernandez (Celta Vigo), Angel Di Maria (Real Madrid), Maxi Rodriguez (Newell's Old Boys), Enzo Perez (Benfica).
Washmabulizi : Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Sergio Aguero (Manchester City), Rodrigo Palacio (Inter Milan), Ezequiel Lavezzi (Paris St-Germain).
BOSNIA-HERCEGOVINA.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Bosnia wakishangilia moja ya mabao waliyofunga wakati wa michuano ya kufuzu kucheza kombe la dunia Brazil 2014
fifa.com
Wachezaji maarufu kama mshmabulzi wa klabu ya Manchester City Edin Dzeko na kipa wa Stoke City Asmir Begovic wametajwa katika kikosi cha mwisho.
Hii ndio itakuwa mara ya kwanza kwa wachezaji hawa kucheza katika mikubwa kama hii.
Wachezaji wengine maarufu ni pamoja na Miralem Pjanic kutoka klabu ya Roma na Vedad Ibisevic anayesakata kabumbu nchini Ujerumani katika klabu ya Stuttgart.
Kikosi kamili cha timu hii na kwenye mabano ni vilabu ambavyo wachezaji hawa wanacheza kwasasa.
Makipa : Asmir Begovic (Stoke City), Asmir Avdukic (Borac Banja Luka), Jasmin Fejzic (VFR Aalen).
Mabaki : Emir Spahic (Bayer Leverkusen), Toni Sunjic (Zorya Lugansk), Sead Kolasinac (Schalke), Ognjen Vranjes (Elazigspor), Ermin Bicakcic (Eintracht Braunschweig), Muhamed Besic (Ferencvaros), Mensur Mujdza (Freiburg).
Viungo: Miralem Pjanic (Roma), Izet Hajrovic (Galatasaray), Haris Medunjanin (Gaziantepspor), Senad Lulic (Lazio), Anel Hadzic (Sturm), Tino Susic (Hajduk), Sejad Salihovic (Hoffenheim), Zvjezdan Misimovic (Guizhour Renhe), Senijad Ibricic (Erciyesspor), Avdija Vrsaljevic (Hajduk).
Washmabulizi: Vedad Ibisevic (VfB Stuttgart), Edin Dzeko (Manchester City), Edin Visca (Istanbul BB).
IRAN.

AFP PHOTO / SAMUEL KUBANI
Ashkan Dejagah anayecheza soka nchini Uingereza katika klabu ya Fulham ni miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa waliotajwa katika kikoso cha mwisho cha Iran.
Mwingine ni Reza Ghoochannejhad anayechezea klabu ya Charlton FC.
Kocha Carlos Queiroz alikuwa amemwita mchezaji wa klabu ya Rubin Kazan, Sardar Azmoun lakini baadaye akamtema.
Kikosi kamili cha timu hii na kwenye mabano ni vilabu ambavyo wachezaji hawa wanacheza kwasasa.
Makipa : Daniel Davari (Eintracht Braunschweig), Alireza Haghighi (Sporting Covilha, on loan from Rubin Kazan), Rahman Ahmadi (Sepahan).
Mabeki: Hossein Mahini (Persepolis), Steven Beitashour (Vancouver Whitecaps), Pejman Montazeri (Umm Salal), Jalal Hosseini (Persepolis), Amir-Hossein Sadeghi (Esteghlal), Ahmad Alenemeh (Naft), Hashem Beikzadeh (Esteghlal), Mehrdad Pouladi (Persepolis).
Viungo: Javad Nekounam (Kuwait SC), Andranik Teymourian (Esteghlal), Reza Haghighi (Persepolis), Ghasem Haddadifar (Zob Ahan), Bakhtiar Rahmani (Foolad), Ehsan Hajsafi (Sepahan).
Washambulizi: Ashkan Dejagah (Fulham), Masoud Shojaei (Las Palmas), Alireza Jahanbakhsh (NEC Nijmegen), Reza Ghoochannejhad (Charlton), Karim Ansarifard (Tractor Saz, kwa mkopo kutoka Persepolis), Khosro Heydari (Esteghlal).
NIGERIA.

Reuters
Kocha wa Nigeria Steophen Keshi alimaarufu kama the Big Boss amemjumisha mshmabulzi wa klabu ya Newscastle Shola Ameobi katika kikosi cha mwisho.Wengine ni pamoja na Peter Odemwingie, Victor Moses, Joseph Yobo na John Mikel Obi .
Kikosi kamili cha timu hii na kwenye mabano ni vilabu ambavyo wachezaji hawa wanacheza kwasasa.
Makipa: Vincent Enyeama (Lille), Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheva), Chigozie Agbim (Gombe United).
Mabeki: Elderson Echiejile (Monaco), Efe Ambrose (Celtic), Godfrey Oboabona (Rizespor), Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves), Kenneth Omeruo (Middlesbrough), Juwon Oshaniwa (Ashdod), Joseph Yobo (Norwich, kwa mkopo kutoka Fenerbahce), Kunle Odunlami (Sunshine Stars).
Viungo: John Mikel Obi (Chelsea), Ramon Azeez (Almeria), Ogenyi Onazi (Lazio), Reuben Gabriel (Waasland-Beveren), Michael Babatunde (Volyn Lutsk).
Washambulizi: Ahmed Musa (CSKA Moscow), Shola Ameobi (Newcastle), Emmanuel Emenike (Fenerbahce), Michael Uchebo (Cercle Brugge), Peter Odemwingie (Stoke), Victor Moses (Liverpool, kwa mkopo kutoka Chelsea), Uche Nwofor (Heerenveen).
GROUP G
GERMANY

Kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani
fifa.com
Timu ya taifa ya Ujerumani imeelekea nchini Brazil pamoja na mshambuliaji mkongwe wa timu hiyo Miroslav Klose ambaye licha ya kupachika mabao 14 kwenye fainali alizoichezea timu yake ya taifa bado sio maarufu sana kama wachezaji wengine wa timu hii.
Klose anahitaji jumla ya mabao mawili pekee kuweza kuvunja rekodi ya mkongwe wa Brazil Rinaldo de Lima ambaye amepachika mabao 15 kwenye fainali alizoichezea timu yake ya taifa ya Brazil na kuweka rekodi ya dunia ya mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi.
Mchezaji mwingine aliyejumuishwa kwenye kikosi hiki ni pamoja na kiungo wa Real Madrid Sami Khedira ambaye licha ya kuwa alikuwa nje ya uwanja kutokana na majeraha ya goto kocha wake bado amemuita kikosini, mchezaji pekee anayekosekana kwenye michuano ya mwaka huu ni, Lars Bender.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert Zieler (Hannover).
Mabeki: Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm (Borussia Dortmund), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Philipp Lahm (Bayern Munich), Per Mertesacker (Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria).
Viungo: Julian Draxler (Schalke), Matthias Ginter (Freiburg), Mario Gotze (Bayern Munich), Christoph Kramer (Borussia Monchengladbach), Sami Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern Munich), Thomas Muller (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Andre Schurrle (Chelsea), Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich).
Washambuliaji: Miroslav Klose (Lazio), Lukas Podolski (Arsenal).
PORTUGAL

Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno
fifa.com
Mshambuliaji na nahodha wa timu hii Christian Ronaldo yumo kwenye kikosi licha ya hivi karibuni kukabiliwa na majeraha ambayo pengine yangemfanya akose fainali za mwaka huu. Luis Nani anayekipiga na klabu ya Manchester United ndiye mchezaji pekee kwenye kikosi hiki anayecheza soka Uingereza.
Mchezaji mwenye jina kubwa na ambaye ameachwa kwenye kikosi kilichoko Brazil ni Ricardo Quaresma ambaye kocha wake Paulo Bento hakuona umuhimu wa kwenda nae.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Beto (Sevilla), Eduardo (Braga), Rui Patricio (Sporting).
Mabeki: Andre Almeida (Benfica), Bruno Alves (Fenerbahce), Fabio Coentreo (Real Madrid), Joao Pereira (Valencia), Neto (Zenit), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia).
Kiungo: Joao Moutinho (Monaco), Miguel Veloso (Dinamo Kiev), Raul Meireles (Fenerbahce), Ruben Amorim (Benfica), William Carvalho (Sporting).
Washambuliaji: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Eder (SC Braga), Helder Postiga (Lazio), Hugo Almeida (Besiktas), Nani (Manchester United), Rafa (Braga), Varela (FC Porto), Vieirinha (Wolfsburg).
GHANA

Kikosi cha timu ya taifa ya Ghana
fifa.com
Mlinzi wa klabu ya Leicester, Jeffrey Schlupp ni miongoni mwa wachezaji wengine watatu waliotemwa kwenye kikosi hiki.
Wachezaji maarufu ambao wamo kwenye kikosi cha mwaka huu cha kocha Kwesi Appiah ni pamoja na kiungo wa AC Milan, Michael Essien na mchezaji wa klabu ya Schalke, Kevin-Prince Boateng.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Fatau Dauda (Orlando Pirates), Adam Kwarasey (Stromsgodset), Stephen Adams (Aduana Stars).
Mabeki: Samuel Inkoom (Platanias), Daniel Opare (Standard Liege), Harrison Afful (Esperance), John Boye (Rennes), Jonathan Mensah (Evian), Rashid Sumalia (Mamelodi Sundowns).
Viungo: Michael Essien (AC Milan), Sulley Muntari (AC Milan), Rabiu Mohammed (Kuban Krasnodar), Kwadwo Asamoah (Juventus), Emmanuel Agyemang-Badu (Udinese), Afriyie Acquah (Parma), Christian Atsu (Vitesse), Albert Adomah (Middlesbrough), Andre Ayew (Marseille), Mubarak Wakaso (Rubin Kazan).
Washambuliaji: Asamoah Gyan (Al Ain), Kevin-Prince Boateng (Schalke 04), Abdul Majeed Waris (Valenciennes), Jordan Ayew (Sochaux).
UNITED STATES

Kocha mkuu wa Marekani, Jurgen Klinsmann
Reuters
Kocha wa timu ya taifa ya Marekani, Jurgen Klinsmann amewajumuisha wachezaji wanne wanaocheza kwenye ligi kuu ya nchini Uingereza wakiwemo, mlinda mlango, Brad Guzan, Tim Howard, Geoff Cameron na mshambuliaji, Jozy Altidore.
Mchezaji pekee na mkongwe kwenye timu hii kuachwa ni Landon Donovan ambaye alikuwemo kwenye kikosi cha wachezaji 30 lakini baadae hakujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa timu hii.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Brad Guzan (Aston Villa), Tim Howard (Everton), Nick Rimando (Real Salt Lake).
Mabeki: DaMarcus Beasley (Puebla), Matt Besler (Sporting Kansas City), John Brooks (Hertha Berlin), Geoff Cameron (Stoke City), Timmy Chandler (Nuremberg), Omar Gonzalez (LA Galaxy), Fabian Johnson (Hoffenheim), DeAndre Yedlin (Seattle Sounders).
Viungo: Kyle Beckerman (Real Salt Lake), Alejandro Bedoya (Nantes), Michael Bradley (Toronto FC), Brad Davis (Houston Dynamo), Mix Diskerud (Rosenborg), Julian Green (Bayern Munich), Jermaine Jones (Besiktas), Graham Zusi (Sporting Kansas City).
Washambuliaji: Jozy Altidore (Sunderland), Clint Dempsey (Seattle Sounders), Aron Johannsson (AZ Alkmaar), Chris Wondolowski (San Jose Earthquakes).
GROUP H
BELGIUM

Mchezaji wa Ubelgiji, Marouane Fellaini
AFP PHOTO/ BELGA PHOTO DIRK WAEM
Mchezaji wa Chelsea ya Uingereza, Eden Hazard ni miongoni mwa wachezaji mahiri wa timu hii ambao wako nchini Brazil kuiwakilisha nchi yao kwenye michuano ya mwaka huu lakini cha kushangaza kaka yake, Thorgan Hazard hakujumuishwa kwenye timu ya mwaka huu.
Timu ya taifa ya Ubelgiji imewajumuisha wachezaji 12 wanaocheza kwenye ligi kuu ya nchini Uingereza wakiwemo wachezaji wawili wa Manchester United, Maroun Fellain na kina Adnan Januzaj, yumo pia Eden Hazard, Romelu Lukaku na Thibaut Courtois, wengine ni Thomas Vermaelen na Jan Vertonghen, Mousa Dembele na Nacer Chadli.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Thibaut Courtois (Atletico Madrid, on loan from Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool), Sammy Bossut (Zulte Waregem).
Mabeki: Toby Alderweireld (Atletico Madrid), Laurent Ciman (Standard Liege), Nicolas Lombaerts (Zenit St Petersburg), Vincent Kompany (Manchester City), Daniel Van Buyten (Bayern Munich), Anthony Vanden Borre (Anderlecht), Thomas Vermaelen (Arsenal), Jan Vertonghen (Tottenham).
Viungo: Nacer Chadli, Mousa Dembele (both Tottenham), Steven Defour (Porto), Kevin De Bruyne (Wolfsburg), Marouane Fellaini, Adnan Januzaj (both Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Kevin Mirallas (Everton), Divock Origi (Lille), Axel Witsel (Zenit St Petersburg).
Washambuliaji: Romelu Lukaku (Everton, on loan from Chelsea), Dries Mertens (Napoli).
ALGERIA

Mchezaji wa Alegeria, Karim Matmour akimtoka mchezaji wa Mali, Mohamed Sissoko
REUTERS/Mike Hutchings
Kinda wa timu ya Tottenham ya Uingereza, Nabil Bentaleb amejumuishwa kwenye kikosi cha Algeria, yumo pia kiungo wa Inter Mila Saphir Taider, lakini mchezaji pekee anayekosa na anayecheza soka la kulipwa ni mchezaji, Adlene Guedioura.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Rais Mbolhi (CSKA Sofia), Cedric Si Mohamed (CS Constantine), Mohamed Lamine Zemmamouche (USM Alger).
Mabeki: Essaid Belkalem (Watford, on loan from Granada), Madjid Bougherra (Lekhwya Club), Liassine Cadamuro (Mallorca), Faouzi Ghoualm (Napoli), Rafik Halliche (Academica Coimbra), Aissa Mandi (Stade Reims), Carl Medjani (Valenciennes), Djamel Mesbah (Livorno), Mehdi Mostefa (AC Ajaccio).
Viungo: Nabil Bentaleb (Tottenham), Yasine Brahimi (Granada), Medhi Lacen (Getafe), Saphir Taider (Inter Milan), Hassan Yebda (Udinese).
Washambuliaji: Abdelmoumene Djabou (Club Africain), Sofiane Feghouli (Valencia), Nabil Ghilas (Porto), Riyad Mahrez (Leicester City), Islam Slimani (Sporting Lisbon, Portugal), Hilal Soudani (Dinamo Zagreb).
RUSSIA

Kocha wa Urusi, Fabio Capello
Katika kile ambacho kimeoneakana kuwashangaza mashabiki wengi wa timu ya taifa ya Urusi, ni hatua ya kocha mkuu wa timu hiyo muitaliano Fabio Capello kuwaita wachezaji wanaocheza ligi ya nyumbani pekee kwenye kikosi kinachoelekea Brazil.
Mshambuliaji Andrey Arshavin, Roman Pavlynchenko na Diniyar Bilyaletdinov ni wachezaji ambao hawakujumuishwa kwenye kikosi cha Fabio Capello.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Igor Akinfeev (CSKA Moscow), Yury Lodygin (Zenit St Petersburg), Sergey Ryzhikov (Rubin Kazan).
Mabeki: Vasili Berezutskiy (CSKA Moscow), Vladimir Granat (Dynamo Moscow), Andrey Eshchenko (Anzhi Makhachkala), Sergey Ignashevich (CSKA Moscow), Alexey Kozlov (Dynamo Moscow), Dmitry Kombarov (Spartak Moscow), Andrey Semenov (Terek Grozny), Georgi Schennikov (CSKA Moscow).
Viungo: Denis Glushakov (Spartak Moscow), Igor Denisov (Dynamo Moscow), Alan Dzagoev (CSKA Moscow), Yury Zhirkov (Dynamo Moscow), Alexey Ionov (Dynamo Moscow), Pavel Mogilevets (Rubin Kazan), Alexander Samedov (Lokomotiv Moscow), Victor Faizulin (Zenit St Petersburg), Oleg Shatov (Zenit St Petersburg).
Washambuliaji: Maxim Kanunnikov (Amkar Perm), Alexander Kerzhakov (Zenit St Petersburg), Alexander Kokorin (Dynamo Moscow).
SOUTH KOREA

Ji-Sung Park ouvre la marque dรจs la 8e mn, c'est la stupeur ร  l'Emirates.
Ji-Sung Park ouvre la marque dรจs la 8e mn, c'est la stupeur ร  l'Emirates.
Mchezaji wa Korea Kusini, Ji-Sung Park ambaye ametemwa kwenye kikosi cha mwaka huu baada ya kutangaza kustaafu soka
(Photo: Reuters)
Timu ya taifa ya Korea Kusini imewajumuisha wachezaji watano wanaocheza kwenye ligi kuu ya nchini Uingereza akiwemo mchezaji wa Cardiff City Kim Bo-Kyongm Ki Sung-yeung na mshambuliaji Park Chu-young.
Beki wa kushoto ambaye alikuwa tegemeo kwenye kikosi hiki, Jung Sung-ryeong alilazimika kuachwa katika dakika za mwisho kutokana na majeraha aliyokuwa ameyapata.
Kikosi kamili cha timu hii ni kama ifuatavyo na kwenye mabano ni timu wanazochezea kwa sasa.
Makipa: Jung Sung-ryeong (Suwon Bluewings), Kim Seung-gyu (Ulsan Horang-i), Lee Bum-young (Busan I'Park).
Mabeki: Yun Suk-young (QPR), Kim Young-kwon (Guangzhou Evergrande), Hwang Seok-ho (Sanfrecce Hiroshima), Hong Jeong-ho (Augsburg), Kwak Tae-hwi (Al Hilal), Lee Yong (Ulsan Horang-i), Kim Chang-soo (Kashiwa Reysol), Park Joo-ho (Mainz).
Viungo: Ki Seung-yueng (Sunderland, on loan from Swansea), Ha Dae-sung (Beijing Guoan), Han Kook-young (Kashiwa Reysol), Park Jung-woo (Guangzhou R&F), Son Heung-min (Bayer Leverkusen), Kim Bo-kyung (Cardiff City), Lee Chung-yong (Bolton Wanderers), Ji Dong-won (Augsburg).
Washambuliaji: Koo Ja-cheol (Mainz), Lee Keun-ho (Sangju Sangmu), Park Chu-young (Arsenal), Kim Shin-wook (Ulsan Horang-i).

No comments: