BAADHI
ya wakazi wa Kijiji cha Mabogini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro,
wanaishi kwa taharuki kubwa kutokana na taarifa za kuibuka ugonjwa wa
kutapika damu unaodaiwa kuua watu watano hadi sasa.
Hadi sasa, zaidi ya
wakazi 10 waishio kijijini hapo wanasumbuliwa na ugonjwa huo licha ya
kupatiwa matibabu katika hospitali mbalimbali mkoani humo ikiwemo KCMC
iliyopo Mjini Moshi.
Kutokana na taharuki
hiyo, Majira lilifika kijijini hapo, kuzungumza na baadhi ya wagonjwa
akiwemo, Sangiwa Muro, Musa Ibrahim na Neema Joel ambao walidai dalili
kuu za ugonjwa huo ni maumivu makali ya kichwa, tumbo, kichefuchefu,
kizunguzungu na kupoteza fahamu.
Kwa upande wake, Muro
alisema alianza kuugua ugonjwa huo Juni, 2013 na kwenda Hospitali ya
KCMC zaidi ya mara nne ili kupatiwa matibabu baada ya kutapika damu na
kupoteza fahamu. Akizungumza kwa niaba yake, mama yake mzazi Bi.Fatina
Abdalah, alisema mwanaye (Muro), alilazwa hospitalini hapo siku sita,
kutoka Mei 14 mwaka huu, baada ya kudondoka, kupoteza fahamu na
alipoamka, alianza kutapika damu.
“Ugonjwa huu
umesababisha familia yetu tuishi katika mazingira magumu... kila
ninapompeleka mwanangu hospitali, tunatumia fedha nyingi za matibabu
hasa kwenye dripu bado kulipia dawa, vipimo, chakula, kitanda, usafiri
wa kwenda na kurudi hospitali,” alisema.
Naye Joel alisema,
alianza kutapika damu kuanzia mwaka 2000 wakati akifanya kazi kwenye
shamba la Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Kilimanjaro (KATC) lakini aliacha
baada ya kuugua.
Alisema kila mwaka
inapofikia Juni hadi Agosti, anakumbwa na ugonjwa huo na kusababisha
ashindwe kufanya shughuli nyingine za uzalishaji mali akitumia gharama
kubwa kupata matibabu.
“Huwa nikilazwa KCMC,
natumia wastani wa sh 500,000 hadi 600,000, huwa siponi bali napata
nafuu na kurejea nyumbani... matibabu ya ugonjwa huu ni ghali hivyo
tunaiomba serikali itusaidie kufanya utafiti wa kina ili kubaini chanzo
chake katika kijiji chetu,” alisema.
Mtendaji wa kijiji
hicho, Hamad Mdimu alidai kutokuwa na taarifa za ugonjwa huo lakini
Mwenyekiti wa kijiji, Nuhu Mnango, alithibitisha kuwa ugonjwa huo upo na
wagonjwa wapo.
“Ni kweli kuna watu
wanaugua ugonjwa huu hapa kijijini lakini si wa mlipuko...kati ya
wagonjwa waliopo nawafahamu watatu au wanne,” alisema Mnango.
Mganga Mkuu wa Wilaya
ya Moshi Vijijini, Timoth Wonanji, alidai kutofahamu uwepo wa ugonjwa
huo lakini aliahidi kufuatilia ili kupata taarifa za kina. Hata hivyo,
Daktari Bingwa Kitengo cha Upasuaji na Magonjwa ya Njia ya Mkojo katika
Hospitali ya KCMC, Dkt. Mark Mvungi, alikiri kupata taarifa za wagonjwa
wanaougua ugonjwa huo kutoka Kata ya Mabogini.
“Ugonjwa huu
husababishwa na kupasuka, kujeruhika kwa mishipa ya damu katika mfumo wa
chakula, uvimbe katika mfuko wa chakula, vidonda vya tumbo
vinavyosababisha kuvuja damu na kuingia katika mfuko wa chakula.
Dkt. Mvungi alisema,
sababu nyingine ni mwili kushambuliwa na magonjwa kama kichocho na
vidonda vya tumbo lakini ulevi wa kupindukia hususani wa pombe kali za
kienyeji ikiwamo gongo.
“Kitendo cha baadhi ya
watu hasa wakulima wa zao la mpunga kutotumia viatu maalumu wakati wa
kuandaa mashamba husababisha wapate ugonjwa wa kichocho kwa kuingiliwa
na konokono wanaoeneza ugonjwa huu.
“KCMC ni Hospitali ya
Rufaa, hapa tunapokea wastani wa wagonjwa watatu hadi wanne kwa mwezi
wenye ugonjwa huu, wengi wao wanajirudia karibu kila mwaka,” alisema.
Eden Hazard amedai kuwa kwa `asilimia 100` atabakia Chelsea na amethibitisha kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.
Kocha
wa Paris Saint Germain, Laurent Blanc alisema hadharani kuwa klabu hiyo
ya Ufaransa inatamani kumsajili mshambuliaji huyo.
Lakini
mtandao wa Sportmail alhamisi iliyopita ulitoa taarifa kuwa mchezaji
huyo wa kimataifa wa Ubelgiji yuko katika harakati za kusaini mkataba
mpya wa miaka mitano katika klabu yake ya Chelsea na atakuwa analipwa
paundi laki mbili kwa wiki.
Kujifunga: Eden Hazar amesisiza kuwa na furaha kubakia Chelsea na kumaliza tetezi za uhamisho majira ya kiangazi.
Hazard kwasasa anajiandaa kuiwakilisha Ubelgiji kwenye fainali za kombe la dunia 2014 nchini Brazil.
‘Nibakia Chelsea, nina asilimia 100`, alisema nyota huyo mwenye miaka 23.
`Kiukweli katika mpira huwezi kujua, lakini nipo chini ya mkataba na Chelsea na nataka kukaa pale`.
“Nipo katika mazungumzo ya mkataba mpya na Chelsea. Mazungumzo ndio kwanza yanaanza, lakini bado tuna muda”.
“Lakini
ukweli ni kwamba, Chelsea wamenipa ofa ya mkataba mpya ambao utanifanya
nijiamini zaidi, kwamba nitafanya kazi nzuri zaidi na watanifurahia”
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1844#sthash.XMC2Hm4o.dpuf

No comments:
Post a Comment