Reuvin alipata kura 43 katika awamu ya kwanza na 63 katika awamu ya
pili huku mpinzani wake Meir Sheetrit akipata kura 53 katika uchaguzi
uliofanywa katika Bunge la Israel.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Spika wa bunge, Yuli Edelshtein alisema, " Rivlin amechguliwa kuwa rais."
Miaka 7 iliyopita Rivlin aliwahi kugombania kiti cha urais nakuibuka
wapili nyuma ya rais anayeondoka Shimon Peres. Rivlin aliyepigiwa upato
wa kushinda uchaguzi huu na vyombo vya habari alihudumu kama Spika wa
bunge ya Israel kwa mihula miwili.
No comments:
Post a Comment