Hukumu hiyo imetolewa jana katika mahakama ya wilaya ya
Arumeru iliyoko mkoani Arusha jana
Hakimu ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kwamba
“msichana aliyebakwa alifahamika kwa jina la Esuphati, mwenye umri wa miaka 16
mlemavu wa akili” alibakwa tarehe 27.7.14 kwenye shamba la mahindi
Hata hivyo hakimu huyo ameongeza kwa kusema “mtuhumiwa
alipokamatwa kwa mara ya kwanzaalikiri kuhusika na tukio hilo na kuiomba
mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa hakudhamiria kubaka kwani ni pombe
ilimshawishi kufanya hivyo .
No comments:
Post a Comment