Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba Kotela ilokofanyika ibada hiyo |
Mbunge Mbatia akiingia kanisani humo. |
Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshi unaofanyika kando ya Usharika huo. |
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop Moshi wakiwa katika ibada hiyo. |
Viongozi mbalimbali wa dini pia walikuwepo. |
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo. |
Askofu mstaafu Dkt Martin Shao akizungumza wakati wa ibada hiyo. |
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini,Stephano Moshi. |
Askofu mstaafu Dkt Erasto Kweka akimzungumzia marehemu Baba Askofu Stephano Moshi jinsi alivyo mfahamu. |
Baba Askofu Dkt Shoo akitoa hotuba yake . |
Ikafika wakati wa kuchangia ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshi na aliyealikwa mwanzo alikuwa ni Mbunge wa jimbo hilo Dkt Mrema . |
Dkt Mrema akimtizama mkewe Rose Mrema wakati akitoa pesa kwa ajili ya mchango wa harambee ya kuchangia taasisi hiyo ambapo alitoa kiasi cha sh 500,000. |
Baba Askofu ,Dkt Shoo akimhukuru Mbatia kwa mchango anaoendelea kutoa kwa kanisa. |
Baba Askofu Dkt Shoo akizindua rasmi jengo la kuweka kumbukumbu za Askofu wa Kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Stephano Moshi. |
Baba Askofu Dkt Shoo akiingia katika jengo hilo. |
Baba Askofu Dkt Shoo akitia saini katika kitabu cha kumbukumbu. |
Askofu mstaafu ,Dkt Martin Shao akitia saini katika kitabu cha kumbukumbu. |
Baba Askofu,Dkt Shoo akiweka shada la maua katika kaburi la askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini na kufanya maombi katika kaburi hilo. |
Mbunge wa kuteuliwa na rais,James Mbatia akitia saini katika kitabu cha kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaslazini mStephano Moshi . |
Mbunge wa kuteuliwa ,James Mbatia akiweka shada la mauakatika kaburi la Askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya kasakzini ,hayati Stephano Moshi. |
Mbatia akizungumzajambo na askofu msataafu Dkt Martin Shao mara baadaya kumalizika kwa ibada hiyo/ |
No comments:
Post a Comment