Mwanafunzi katika kitengo cha umeme na elekroniki katika chuo kikuu cha Selรงuk kinachopatikana mkoani Konya afaulu kutengeneza baiskeli inayotumia nguvu za jua.
Mwanafunzi huyu alitambulika kwa jina la Yiฤit Kaan Er.
Chombo cha kuhifadhia nguvu za jua katika baiskeli hiyo kinauwezo
wakuhifadhi umeme kwa muda wa siku nzima na kutembea umbali wa kilometa 40.
Betri la baiskeli linahitaji kuchajiwa kwa muda wa masaa 6 ili kuwa imara
No comments:
Post a Comment